Swahili Language
UMUHIMU WA “SOIL IMPRINT”
Wazo lwnyewe ni rahisi…………..gurudumu hupiga chapa mchangani. Hii ni mbinu rahisi ya kuulainisha mchanga wa kondeni kitalu au shamba lamzabibu ambayo inaleta mapato.matokeo makubwa/mazuri.
MATOKEO YA TEKNOLOJIA YA “TERRAMANUS” NI YAPI?
Kila chapa ina asilimia thekathini (30%) zaidi ya eneo mraba kuliko ardhi tambarare ambayo matokeo yake ni;
• Hifadhi ambayo huzui maji mengi ya mvua
• Vidimbwi vya maji ambayo hupenyeza kwenye mcanga kwa urahisi
• Hifadhi ya maji
• Uzuiaji wa uharibifu wa mchanga wa juu na mmomonyoko wa udongo
• Ongezeko la eneo mraba ambalo hufanya miale ya jua kufanya kazi vizuri.
MAJARIBIO YALIYOONYESHA MAZAO BORA NA YA HALI YA JUU Kama vile
• Uhifadhi wa mchanga na maji unaboresha afya ya mimea
• Mazao ya maharagwe ya soya yaliongezaka lwa asilimia thelathini na tano (35%) baada ya wiki 14 ya kiangazi kuliangana ukulima wa kawaida.
• Mazao ya mahindi yaliongezeka kwa asilimia kumi na mbili (12%) yakiwa na majani mapana na tena marefu.
• Mazao ya nyanya yaliongezeka kwa asilimia arubaini na mbili (42%) bila kuihimili minyanya na vijiti kwani mmea umeboreshwa.
• Mazao ya viazi yaliongezeka kwa asili mia ishirini na moja (21%).
• Kiwango cha madini ya ‘Nitrate’katika maji kilipungua kwa takribani asilimi hamsini (50%)
MBINU ZA JUMLA ZA KULAINISHA MCHANGA
• Unaweza kulainisha mchanga kwa kutumia mashine au mikono.
• Unaweza kutumia maguruduumu machache au vyombo vikubwa vya kilimo ili kuupa udongo / mchanga saizi inayohitajika.
• Mbinu hii inaweza kutumika katika aina nyingi za mimea,vitalu vidogo,mashamba makubwa,mimea ya nafaka na mashamba ya mizabibu.
